
Kielezo cha Fasili
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Elimu iliyokita mizizi komavu juu ya masuala mbalimbali ya jamii inafafanuliwa katika kazi hii ya Shaaban Robert. Mwandishi anayaelezea mambo ya jamii kama yalivyo. Si yote ni matamu na si vyote ni machungu ni mchanganyiko wa vyote vinavyoifanya jamii kuitwa jamii. Ungana na Shaaban Robert katika kitabu hiki kilichogusia mambo mengi na ya msingi sana kwa ustawi wa mwanadamu na mazingira yake.