
Masomo Yenye Adili
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki kimekusanya mambo mengi ya hekima. Ni kitabu ambacho kimejaa hadithi fupi zenye maonyo, ushauri, maelekezo na maadili mbalimbali yahusuyo maisha. Yapo mashairi yenye wingi wa hekima ndani yake ambayo sambamba na hadithi fupi yanafanya kazi ya kuadilisha jamii katika nyanja zote za maisha. Kitabu hiki ni darasa tosha na daraja bora la kupitishia maarifa kutoka kwa msanii kwenda kwa hadhira yake.