
Mwafrika Aimba
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao. Mwafrika Aimba ni kipaza sauti cha msanii katika kufikisha ujumbe kwa hadhira. Amebainisha yale yote yanayomkera Mwafrika pamoja na wajibu wa kila binadamu. Lengo kuu ni kuyafanya maisha ya kila mmoja yawe bora na yenye thamani kubwa hapa duniani.