
Koja la Lugha
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Uhodari na utunzi mahiri wa Shaaban Robert unadhihirishwa katika kazi yake hii ya Koja la Lugha. Mashairi yaliyosukwa kwa ustadi na kwa tunu za jamii yanakusanywa na kuunda kitabu hiki. Jamii ya Afrika Mashariki ikiwa hadhira lengwa kwa namna ya ajabu ya mfanano kati ya yanayozungumziwa na yaliyopo leo hii. Ukongwe si nongwa kwani diwani hii ni kioo cha jamii hata leo hii.