
Mashairi ya Shaabani Robert
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hii ni moja ya diwani fupi inayozungumzia namna bora ambayo wanajamii wanaweza kuhusiana na kujiletea maendeleo. Masuala mbalimbali kama vile dini, maadili na maisha kwa ujumla wake yanazungumziwa ipasavyo na mwandishi. Chachu hii inaleta changamoto ya kujitahidi kupambana hadi kufikia kilele cha malengo na maisha bora ambayo ni ndoto ya kila mmoja. Hakika dafina ya maisha iliyofichwa inafichuliwa katika diwani hii na kumwezesha mwanadamu kujikwamua na kuishi kwa furaha.