
Mapenzi Bora
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu cha Mapenzi Bora kinazungumzia suala mtambuka la mapenzi. Mwandishi anachora suala hili kwa kuonesha ni namna gani mapenzi yanaweza kuwa na matokeo hasi au chanya kulingana na aina ya mapenzi yenyewe. Shaaban Robert amezungumzia hili kinaganaga kwa wasomaji wake akichochea umma kuwa macho na mapenzi pasi kuhafifisha umuhimu wa mapenzi katika jamii yetu.