
Ashi Kitabu Hiki
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hii ni diwani yenye mashairi mbalimbali yanayojadili mambo tofauti ya maisha ya binadamu. Kitabu hiki kimepewa jina, Ashiki Kitabu Hiki kwa lengo la kumpa msomaji hamasa ya kukisoma. Kwa kufanya hivyo, msomaji huyo atakuwa amefanikiwa kuyapata yote aliyokusudiwa kuyapata na hapo lengo la msanii litakuwa limetimia. Kwa ujumla kitabu hiki kinampa msomaji elimu muhimu ya namna ya kupambana na maisha yake katika hali zote, njema na mbaya. Msomaji anaaswa kutahadhari kwani maisha ni njiapanda ya wema na ubaya.