Wacha Mungu wa Bibi Kilihona
Publisher
E & D Vision Publishing
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 10, 2025

TSh 3,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Ni katika mwaka wa 1895, Kilihona alipokuwa msichana wa miaka kumi na tatu, tayari "amekwishagunduliwa" na wazazi wenye wavulana kama mchumba wa kufikiria kuposea watoto wao na uzuri wake tayari umetungiwa nyimbo na wacheza enanga vijana wa sehemu za kwao, ndipo hao Wazungu, wa kabila la Wajerumani, walipoingia kwenye Ufalme wa Ukerewe kwa namna isiyosahaulika.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review