Freshi na Maisha:jilinde
Publisher
E & D Vision Publishing
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Freshi ameendelea kuwa rafiki mkuu wa Maisha. Katika kitabu hiki Freshi anamwezesha Maisha kuona jinsi mwili wa binadamu ulivyo wa kipekee. Jinsi ambavyo ni wajibu wetu kuulinda dhidi ya magonjwa yote, hasa UKIMWI.