Freshi na Maisha:jipende
Publisher
E & D Vision Publishing
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Maisha anaishi katika familia yenye upendo na amani, ana bidi ya kazi, nyumbani na shuleni. Maisha ameanza kupata dalili za kukukua. Changamoto mpya zinamkabili. Anakutana na Freshi anayekuwa rafiki yake. Freshi anamfunulia Maisha uwanja wa maarifa juu ya stadi za Maisha kuhusu kujipenda.