
Kusoma kwa Vitendo Kitabu cha Pili
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki kinafundisha somo la /Kusoma kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya msingi kwa darasa la 2 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina hadithi fupi na mazoezi mengi ambavyo kwa pamoja vinampa mwanafunzi mazoezi katika mada zinazofundishwa. Tunaamini kiatabu hiki kitamjengae mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja mpana wa kujifunza somo la kiswahili kwa vitendo.