Arusi
Mchapishaji
Mbiu Press
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Penzi la Bukini na Mwanaheri linaingia dosari baada ya Mwanaheri
kupata ujauzito wa mwanamume mwingine aitwaye Ali. Dira ya
uhusiano uliokuwa na ahadi kemkem inaenda arijojo. Je, Mwanaheri na
Bukini watakabiliana vipi na kashfa nzito inayowakabili? Kombe
litafunikwa au heri nusu shari?