
Salama Bnt Rubeya Simulizi Kutoka Mwambao wa Bahari ya Hindi
Publisher
Mbiu Press
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki kinaangazia maisha ambayo
yalikuwepo baina ya maeneo ya kijiografia yaliyokuwa na mawasiliano ya
kipekee katika bahari ya Hindi. Kitabu kinaakisi zaidi maeneo ya Kilwa na
Zanzibar kwa kupitia kumbukumbu za Salama binti Rubeya aliyekabili
maisha kwa uvumilivu katika muktadha wa ustaarabu wa kilimwengu.