Mkataba wa Siri
Publisher
Uwaridi
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

UMASIKINI wa kutupwa unamfanya Suma Kiroba afi kirie mara mbili namna kuogelea kwenye utajiri. Ni jambo gumu mno kwake wakati akiwa hana kianzio chochote. Hana elimu. Hana fedha wala kipaji cha sanaa yoyote! Hana chochote. Ni fukara wa kutupwa akibangaiza kuingiza siku kwa kufanya vibarua. Hata hivyo, siku moja anapata wazo. Stori za mitaani kuhusu uhusiano mwema wa majini na binadamu na namna unavyowatajirisha zinamvuti a. Suma anatamani kuingia kwenye mapenzi na jini ili aweze kutajirika. Kwake, ilikuwa bora kuwa na uhusiano na jini ili awe tajiri kuliko kuoa binadamu ambaye angemtegemea na kumzidishia shida! Sekeseke linaanzia hapo. Suma anasaka mbinu za kuwavuti a majini na kufanikiwa. Jini mrembo anaingia mikononi mwake na kuyabadilisha kabisa maisha yake. Raha ya utajiri inageuka simulizi yenye matukio ya kuti sha na kusisimua. Kila kitu kilikuwa sawa... tati zo lilikuwa moja tu. Masharti ndani ya mkataba wa kupewa utajiri. Hapa JOSEPH SHALUWA anakuthibiti shia kuwa alipoandika Kitabu cha SIKUJUA UNGEUTESA MOYO WANGU hakubahati sha lakini kama ulisoma kitabu chake kingine, MATONE YA MACHOZI YA DAMU na ukaamini ndiyo mwisho wa ukomo wake wa kubuni, hapa utabati lisha wazo lako hilo. Usipoteza muda, anza kusoma ufaidi mwenyewe...

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review