Shajara ya Kidawa
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mimi ninaitwa Kidawa Matonya. Nina umri wa miaka kumi na miwili. Wazazi wangu ni wakulima; wanaishi Msingisa, katika wilaya ya Kongwa.