
Mbegu ya Ajabu
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Katika jangwa lenye joto kali matunda ya mpungate yalikomaa. Baada ya muda yakapasuka. Yakatupa mbegu zake hewani.