
Elimu Bora Yenye Malengo
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mwandishi anatambua kwamba elimu ni nguzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kweli katika taifa. Hivyo anaonesha nafasi ya elimu sahihi katika kutengeneza umahiri na ubora kwenye tasnia zote za taifa. Elimu bora ndiyo chimbuko la viongozi hodari, madaktari na wahandisi wenye uwezo, walimu bora na watumishi wachapakazi wanaoweza kulipeleka taifa mbele.