Majigambo ya Tembo
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Salanga analazimika kwenda porini kuwinda ili apate chakula chake na cha mama yake. Huko porini, anakutana na Tembo mkali na wa ajabu. Tembo anamwambia nini Salanga?