Mama Chui na Watumishi Wake
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Ni hadithi ya kusisimua kuhusu Mama chui na watumishi wake Bweha na Mbwa. Watumishi wa Mama Chui wamekatazwa kula mifupa. Lakin uroho wa Mbwa unamfanya ashidwe kutii amri hiyo. Matokeo yake ni nini?