Mtoto Aliyefuga Nyoka
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Katika kijiji cha Mkamba, waliishi Bwana Towela na mkewe Tunu. Waliishi na mtoto wao wa kiume aliyeitwa Matoha. Bwana Towela na mkewe Tunu walikuwa wakulima wa miwa. Walikuwa na shamba la ekari ishirini. Wakati wa mavuno, walikata miwa yao na kuiuza kwenye kiwanda cha sukari. Kiwanda kilikuwa katika Mji wa Kilombero.