Kijiji cha Mwili
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mwili wa Binadamu hufanya kazi kwa kushirikiana kama Kijiji. Uzima ulitegemea sana ushirikiano wa viungo vyote. Kijiji hicho kilijua kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.