Chifu Mahawanga
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Chifu Mahawanga anahitaji mke. Nanjengi na Namikoha watoto wa bwana Ngayomboteka na bibi Mholeli wanataka kuolewa na chifu. Ni nani atafanikiwa kuolewa na chifu?