Kabrasha la Rais
Publisher
Wilbard Makene
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Rais Kassim Mabrouk wa Tanzania anaingia kwenye mgogoro mkubwa na baadhi ya wajumbe wa chama chake, Chama Mahalia (CM). Genge la matajiri ndani ya chama linapanga mbinu chafu dhidi yake. Kwa njia za siri, Rais anaigundua mipango yote, anatengeneza kabrasha na kumkabidhi Tamim, mtu wake wa karibu katika duru za usalama