Ufafanuzi Lugalo
Publisher
Wilbard Makene
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 3,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri Rais Amida Busara kutokupeleka majeshi nchini Kongo ili kufanikisha mkakati wa kijeshi kwanza. Mkuu wa Majeshi anafanya kazi kufa na kupona. Katika pilikapilika za kukamilisha mkakati huo anakumbana na udanganyifu, mauaji, na usaliti. Taarifa zinapopatikana, Rais Amida, Amiri Jeshi Mkuu, anaamrisha UFAFANUZI wote ukatolewe LUGALO

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review