Dunia Uwanja wa Fujo
Publisher
Ape Network
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 5,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

“Dunia uwanja wa fujo” inaelezea jinsi maisha yaliyopo duniani ni sawa sawa na fujo kwani kila mtu anayekuja duniani huleta fujo zake na baadae kutoweka. Mwandishi E. Kezilahabi anaelezea katika jamii kila mtu anakuja duniani kufanya fujo zake na kusababisha matatizo mbalimbali katika jamii yake kama vile mauaji, ukabila, umalaya, uchawi, ubakaji ulevi wa kupindukia nk. hivyo basi mwandishi anaamini kwamba katika dunia kila mtu anakuja na fujo zake na kutoweka, mfano mhusika Tumaini katika Riwaya hii ameleta fujo zake kama vile umalaya,  mauaji na mengine mengi na baadae kutoweka.

1 COMMUNITY REVIEWS
Edwin Mshahara

Kwangu mimi Riwaya hii imenivutia sana hususan kujua uhalisia wa maisha, na namna bora ya kuishi na watu kama riwaya yenyewe inavyosema. Kila mtu huja na fujo zake na kuondokaa

  • 1 year ago  ·  0 found this review useful

Write a Review