Shajara ya Mwana Mzizima Pili
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya sehemu mashuhuri katika jiji la Dar es Salaam. Kitabu hiki ni cha pili ambacho kinachoonesha jiji la Dar es Salaam kwa jicho la mkazi mwenyeji. Historia hii ni muhimu kutambua tulipotoka na tunapokwenda tusije sahau tukapotea. Pia itakuwa kitabu cha kurejelewa kwa wasomi wa historia.