Kutengeneza na Kutumia Mboji Katika Kilimo
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 4,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has the following 7
chapters:
1. Mboji
2. Kazi za Mbolea Katika Ustawishaji wa Mazao
3. Mbolea za Mifugo
4. Samadi
5. Mbolea nyingine za Mifugo
6. Mbolea nyingine za asili
7. Mbolea kutokana na Marejea

Brief Summary
The book is about Organic Manures: how they are made, how they are kept, how to use them and its advantages to the soil and the farmer:

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Kitabu hiki kinahusu Mbolea za Asili. Mbolea za asili hutokana na viumbe hai, yaani, wanyama na mimea. Virutubisho vilivyo katika mbolea hizi vilitumika kwanza katika kustawisha mimea hiyo au katika kulisha wanyama hao. Mbolea za asili kwa pamoja huitwa Mboji. Kitabu hiki kinahusu kilimo cha kutumia mboji. Kinatoa maelezo kamili kuhusu mbolea za asili na jinsi ya kurutubisha ardhi ya kilimo bila kutumia mbolea za viwandani. Maelezo hayo ni pamoja na maelezo ya msingi yanayozihusu, jinsi ya kuzitengeneza na kuzitumia bila gharama kubwa na bila uharibifu kwa mimea na udongo wenyewe.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review