Upekee Katika Ujumla
Mchapishaji
Readit Books Ltd
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Kitabu hiki kinaelezea tabia, sifa na makazi ya viumbe hai waliojipambanua kutoka makundi yao ya kawaida. Kinafaa kwa kufundisha sayansi katika darasa la nne.