Nataka Kupaa Angani!
Mchapishaji
Readit Books Ltd
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Nataka kupaa ni hadithi ya kuvutia, inayohusu mtoto anayejiuliza kwa nini hawezi kupaa angani? Majibu anayopewa yanamfahamisha kwa nini viumbe wengine wanaweza kupaa lakini binadamu ni vigumu kupaa kwa nguvu zake mwenyewe.