Shajara ya Mwana Mzizima Tatu
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya sehemu na watu mashuhuri katika jiji la Dar es Salaam. Kitabu hiki ni cha tatu ambacho kinaonesha jiji la Dar es Salaam kwa jicho la mkazi mwenyeji. Historia hii ni muhimu kutambua tulipotoka na tunapokwenda tusije sahau tukapotea. Pia itakuwa kitabu cha kurejelewa kwa wasomi wa historia.