Samaki na Maji
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Samaki na Majiwalikuwa marafiki. walipendana sana hivyo walihofu kuwa siku moja watatengana. Maji yanamwambia Samaki kuwa hawatatengana. Je, Samaki na Maji watatengana?