Kuku wa Kizungu… McHinjaji Hana Taabu!
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 1,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Katika mkasa uliopita tuliona marafiki wawili;
Dkt Raymond Pembe na Mzee Makaidi
walivyofumaniana na kuishia kubadilishana wake
zao.
Waswahili husema, filisika ujue tabia ya mkeo. Dk.
Raymond Pembe hakuwahi kuujua ukweli huu mpaka
ilipofika ile siku ambayo Waziri Mkuu wa Tanzania,
Mheshimiwa Kassim Majaliwa alifanya ziara ya kushtukiza
kule Bandarini ambako Dk. Raymond Pembe alikuwa Afisa
Uhusiano akiwa mhusika wa kila jambo lililokwenda
vibaya. Pembe akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi.
Ni kipindi hicho alipokubali kula matapishi yake baada ya
kutambua kwamba kumbe Samaki wa Futari hatiwi ndimu
SAMAKI WA FUTARI …Hatiwi ndimu! ni
hadithi iliyotolewa chini ya mradi wa Kitabu Kila Mahali
uliodhamria kurejesha ari ya usomaji wa vitabu nchini.
Mradi unaochapisha hadithi murua zilizo katika vitabu
vidogo vya bei nafuu ambavyo ni rahisi kusomwa na
kubebwa mahali popote

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review