
No video uploads for Joseph Shaluwa |
Hisia Zangu
ALIKUWA msichana mbichi kabisa. Mrembo asiyefananishwa na mwingine katika chuo alichokuwa akisoma - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Mlimani jijini Dar es Saalam.
|
|
Chotara
BRIAN anaingia kwenye uhusiano na binti mrembo, mwenye mchanganyiko wa asili ya mataifa tofauti Naima Abdulaziz, kwa kazi maalumu.
|
|
Matone ya Machozi ya Damu
Alipokutana naye mara ya kwanza, alijua amepata mwanamke bora, ambaye angemtuliza maruhani yake akiwa mbali na nyumbani kwake, Mwanza! Mwanamke huyo mzuri kwa kila kitu. Macho mazuri. Sura nzuri. Umbo namba nane....
|
|
Mkataba wa Siri
UMASIKINI wa kutupwa unamfanya Suma Kiroba afi kirie mara mbili namna kuogelea kwenye utajiri. Ni jambo gumu mno kwake wakati akiwa hana kianzio chochote. Hana elimu. Hana fedha wala kipaji cha sanaa yoyote! Hana chochote.
|
|
Utumwa wa Mapenzi Nje ya Ndoa
Penzi la Harrison Urassa na mkewe Vannessa Williams lilikuwa motomoto. ilikuwa motomoto. Miaka minane ya ndoa yao ilikuwa yenye amani tele.
|
|
Wino Mwekundu
Davina akiwa kwenye hatua za mwisho za kuingia kwenye ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Chaka, anapata pigo.
|
|
No award found
Ask Joseph Shaluwa anything
No questions, Be the first to ask Joseph Shaluwa
Contact Form