
No video uploads for Ibrahi Hussei |
Alikiona
Saida, mke wa Omari, yuko kitandani na mpenzi wake Abdallah, ambaye hataki kumuacha hadi aahidi kwenda kwake siku moja. Wakati huohuo, Omari anarudi kutoka kazini na Abdallah anajificha uvunguni. Baada ya Omari kuingia, Saida anatafuta kisingizio cha kumtoa nje ili kumpa Abdallah upenyo wa kutoroka.
|
|
Arusi
Penzi la Bukini na Mwanaheri linaingia dosari baada ya Mwanaheri kupata ujauzito wa mwanamume mwingine aitwaye Ali. Dira ya uhusiano uliokuwa na ahadi kemkem inaenda arijojo. Je, Mwanaheri na Bukini watakabiliana vipi na kashfa nzito inayowakabili? Kombe litafunikwa au heri nusu shari?
|
|
Jambo la Maana
Kitabu hiki ni matokeo ya tafsiri iliyofanywa na Ebrahim Hussein kutoka katika kazi za mwandishi maarufu wa Kideni, Hans Christian Anderson. Kitabu hiki kimebeba tafsiri za hadithi tatu:
|
|
No award found
Ask Ibrahi Hussei anything
No questions, Be the first to ask Ibrahi Hussei
Contact Form