Mifupa na Kazi Zakemifupa na Kazi Zake
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mifupa na kazi zake ni kitabu kinachoelezea mifupa yote ya mwili wa binadamu kuanzia kichwa hadi vidole vya miguu. Maelezo yametolewa kwa ufasaha na yatamsaidia mtoto katika sayansi.