
Kisa cha Punda na Pundamilia
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hadithi hii nimeitunga maalumu kama zawadi kwa mbuga ya wanyama ya Mikumi, Morogoro. Mapenzi yangu kwa Mikumi hayana kipimo, mara zote nikiwa Mikumi ninapata furaha sana, nafsi yangu hupata utulivu mkubwa na akili yangu hupata mawazo mapya yenye kunifanya kugundua uzuri wa nchi tajiri kwenye sekta ya maliasili na utalii, si nyingine bali Tanzania. Natamani dunia nzima ipate nafasi ya kutembelea mbuga za wanyama nchini Tanzania, hususani mbuga ya Mikumi. Hakika wataona mengi nao watapata mengi ya kuhadithia vizazi na vizazi.