Hadithi ya Esopo Kitabu cha Pili
Publisher
Readit Books Ltd
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Esopo alikuwa mtumwa kutoka Afrika aliyeishi katika nchi ya Uyunani, yaani Ugiriki ya sasa. Inasadikiwa kuwa Esopo alitokea nchi ya Ethiopia.