
No video uploads for Wilbard Makene |
Sarafu ya Gavana
Watu wasiojulikana katika nchi ya Weusi Kusini, wanapambana vikali kumshambulia Gavana nchi hiyo, bwana Bongo kwa lengo la kummaliza.
|
|
Kifurushi Ikulu
Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo.
|
|
Kabrasha la Rais
Rais Kassim Mabrouk wa Tanzania anaingia kwenye mgogoro mkubwa na baadhi ya wajumbe wa chama chake, Chama Mahalia (CM). Genge la matajiri ndani ya chama linapanga mbinu chafu dhidi yake.
|
|
Ufafanuzi Lugalo
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri Rais Amida Busara kutokupeleka majeshi nchini Kongo ili kufanikisha mkakati wa kijeshi kwanza.
|
|
Mkono wa Jamhuri
Mtemi mkwawa anamtuma Mwangito kwenda unyanyembe kuwakimboa watumwa waliochukuliwa kutoka kalenga. Chambila, Mshauri wa Usalama wa Mtemi Mkwawa, hapendezwi na matokeo ya. Mwangito anawekwa pembeni
|
|
Uozo Bandarini
Christina, mhasibu mrembo na shupavu, mwenye msimano na mpenda haki, alifanya kazi bandarini.
|
|
Uchochoro wa Tanzanite
Alex, afisa usalama, anapenyezwa Wizara ya Madini kufichua kinachoendelea katika upotevu tata wa mapato ya Taifa ndani ya biashara ya madini ya Tanzanite. Anaambulia taarifa kiduchu.
|
|
No award found
Ask Wilbard Makene anything
No questions, Be the first to ask Wilbard Makene
Contact Form