
Mkono wa Jamhuri
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mtemi mkwawa anamtuma Mwangito kwenda unyanyembe kuwakimboa watumwa waliochukuliwa kutoka kalenga. Chambila, Mshauri wa Usalama wa Mtemi Mkwawa, hapendezwi na matokeo ya. Mwangito anawekwa pembeni
Baada ya uhuru, Chambila, Mkuu wa wa Usalama wa Rais Mkwawa, anakumbana na dhahma kubwa kutoka kwa mawakala wa Urusi na Marekani. Mapambano kati ya mawakala wa nchi tatu yanapamba moto. Chambila anaona hatari. Anamkumbuka Mwangito.