BOOK OVERVIEW
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has the following 21 Chapters:
1. Asili,Maana ya Kufuga, Mambo ya kuzingatia Kabla ya Kuamua Kufuga, Faidana Hasara za Kuku
2. Aina Kuuna Makabila ya Kuku
3. Mambo yanayoathiri Ufugaji Bora wa Kuku
4. Mifumo ya Ufugaji wa Kuku
5. Banda Bora Kuku
6. Mahitaji na Umuhimu wa Maji na Chakula kwa Kuku
7. Upatikanaji wa Vyakula vya Kuku wa Umri na Aina Tofauti
8. Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku
9. Ufugaji wa Kuku wa Kutaga
10. Ufugaji wa Kuku wa Kutaga
11. Uboreshaji wa Utotoaji na Malezi ya Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
12. Utotoaji wa Vifaranga kwa Kutumia Viatamio
13. Malezi ya Vifaranga wa Kuku wa Kienyeji na Kuku chotara
14. Taratibu za Kulea na Kukuza Vifaranga wa Kuku Chotara na Kuku Kienyeji
15. Mambo ya Yanayoathiri Afya za Kuku
16. Njia za kuzuia Kuku Wasiambukizwe Magonjwa
17. Magonjwa, Kinga na Tiba
18. Vimelea na Visumbufu vya Kuku
19. Maovu Yatendwayo na Kuku Kundini na Kinga yake
20. Utafutaji wa Soko na Maandalizi ya Mazao ya Kuku kwa Ajili ya Kuuza
21. Ufugaji wa Kuku Kibiashara na Utunzaji wa Kumbukumbu za Ufugaji
Brief Summary
The book is on Modern Poultry Husbandry.
A. Maelezo mafupi ya kitabu:
Ufugaji bora wa Kuku ni kitabu kizuri ambacho kimetayarishwa kwa makini kwa ajili ya watu ambao tayari wanafuga kuku wa kienyeji na kuku wa kigeni (yaani, kuku chotara) na wale ambao wangependa kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku. Ufugaji wa kuku ni shughuli moja inayoweza kumwondolea mtu umaskini na kumwinua kiuchumi.
Kitabu kinahusu ufugaji bora wa kuku kwa lengo la kuifanya shughuli hii iwe ya kibiashara. Kitabu kina sura 10 zinazogusa vipengele vyote vya ufugaji wa kisasa wa kuku.