Rafiki Yangu Kipepeo
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Hadithi hii nimeitunga mahususi kwa watoto wanaopenda kupata maarifa ya michezo iliyochezwa miaka ya zamani na kwa sasa imeanza kupotea. Kipindi ambacho uoto wa asili ulitamalaki kila pahala, ila kwa sasa ni aghalabu sana na hivyo watoto wanakosa wasaa wa kushiriki michezo inayogusa viumbe asili na halisi. Ama kwa nafasi nyingine nimemulikia maeneo ya hifadhi za taifa ambapo asili imehifadhiwa na hivyo watoto wapate kuwashawishi wazazi na walezi kuwapeleka katika maeneo hayo ili nao wakafaidi michezo inahusisha viumbe asilia. Maeneo kama Ushoroba wa Kisarawe ni mfano tu wa maeneo mazuri ambapo bado pana viumbe asilia kama vile fukufuku, panzi na vipepeo. Pia uoto wa asili wenye kuleta hali nzuri ya hewa. Wazazi na watoto wapate kwenda kutembelea na kujifunza mambo mengi na mazuri hasa yanayohusisha asili ya viumbe hai.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review