Migomba Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 11, 2025

TSh 4,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Migomba: Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba ni kitabu kinachofundisha mkulima mpya, na hata mwenye uzoefu, namna ya kuanzisha shamba jipya la migomba na kulitunza vizuri. Kitabu kinaeleza pia asili na historia ya zao hili, botania ya mmea, uvunaji na uuzaji wa ndizi. Kitabu hiki kimegawanyika katika sura kumi zifuatazo:

  • Asili, historia na kuenea kwa migomba.
  • Matatizo ya kilimo cha migomba.
  • Aina na matumizi ya migomba na ndizi.
  • Sehemu kuu za mgomba, ukuaji wake na mahitaji ya mbolea.
  • Mahitaji ya kimazingira ya migomba.
  • Uanzishaji wa shamba la migomba.
  • Utunzaji wa shamba la migomba.
  • Magonjwa ya migomba.
  • Wadudu waharibifu na minyoo ya mizizi ya migomba.
  • Ukomaaji, uvunaji na uuzaji wa ndizi.
COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review