Magonjwa ya Mifugo
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili

BOOK OVERVIEW

A: Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 11 chapters:
1. Asili, aina, faida, mifumo, njia za ufugaji na vipingamizi vya ufugaji.
2. Uchaguzi makini wa wazazi, kupandwa na kutunza nguruwejike mwenye mimba na kuzaa.
3. Utunzaji wa vibwagara hadi kulikiza.
4. Ukuzaji na Unenepeshaji wa nguruwe wadogo kuanzia kulikiza hadi kuuzwa.
5. Ulishaji wa nguruwe.
6. Ujenzi wa banda bora la nguruwe.
7. Njia za kuzuia nguruwe wasishikwe magonjwa na wasishambuliwe na vimelea.
8. Magonjwa na Matatizo maalumu, Kinga na Tiba.
9. Vimelea, Kinga na Tiba.
10. Soko, Maandalizi na Utayarishaji wa mazao.
11. Uandishi na Utunzaji wa Kumbukumbu.

Brief Summary
The book is on Modern Swine Husbandry.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe ni kitabu kinachowalenga wafugaji wa nguruwe wa aina kuu tatu zifuatazo:Wafugaji wenye uzoefu mdogo.Wafugaji wa ngazi ya kati wanaoinukia katika ufugaji wa kisasa na wa kibiashara na Wafugaji wakubwa wanaofuga nguruwe kisasa kwa ajili ya kupata faida kubwa. Wafugaji wadogo wanaoanza au waliokwishaanwenza mtaji mdogo au hawana mtaji kabisa na wanaweza kufuga nguruwe na watangundua kuwa ufugaji huu una faida kubwa. Kinunue kitabu hiki ili uelekee kwenye ufugaji wa kisasa na wa kibiashara.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review