
Kisa cha Simba Mtu
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hadithi hii nimeitunga maalumu kama zawadi kwa rafiki zangu wa Mtwara, walionipokea na kunitembeza maeneo mbalimbali na huko nilipata visa vingi kikiwemo kisa hiki cha Simba Mtu. Nikiwa Mtwara niligundua kuwa kuna masimulizi mengi ambayo Tanzania na dunia ingeburudika na pia kujifunza kupitia masimulizi hayo. Asante sana Godfrey Kiganga wa Mtwara mjini, Mzee Yusufu Lilengwa wa Dijengwa ama Njeengwa kama wanavyopaita sasa na wengine wengi. Asante Mtwara.