Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on March 02, 2023

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 22 chapters:
1. Uainishaji wa Kisayansi, Maana ya Ufugaji wa Samaki, Historia ya Uvuvi na Ufugaji wa Samaki
2. Maumbile, Sehemu Kuu na Kutofautisha jinsi
3. Ukuaji, Urutubishaji, Ulinzi na Mzunguko wa Maisha ya Samaki
4. Mazingira, Aina, Mahitaji na Sifa za Samaki Wanaofugwa
5. Faida za Ufugaji wa Samaki
6. Aina za Ufugaji, Ukubwa wa Ufugaji, Madhumuni ya Kufuga na Mifumo ya Ufugaji
7. Makundi na Aina za Samaki wanaofugwa
8. Mambo yakuzingatia Kabla ya Kuanza Kufuga
9. Sifa za Eneo lifaalo Kujenga Bwawa
10. Sifa ya Bwawa Zuri la Kufugia Samaki
11. Maishaya Samaki Bwawani, Maana ya Bwawa na Aina Kuu za Mabwawa
12. Hatu za Kufuata Wakati wa Ujenzi wa Bwawa
13. Maandalizi ya Bwawa kwa Ajili ya Kupokea Vifaranga
14. Upatikanaji na Upandikizaji wa Vifaranga
15. Utunzaji wa Bwawa
16. Ulishaji wa Chakula cha Ziada
17. Visumbufu vya Samaki Bwawani
18. Ufungamanishaji wa Ufugaji wa Samaki, Kilimo cha Mimea na Ufugaji wa Mifugo
19. Uvunaji wa Samaki
20. Hifadhi na Uuzaji wa Samaki
21. Ufugaji wa Samaki Kibiashara
22. Utunzaji wa Kumbukumbu

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki ni kitabu kinachoeleza namna ya kufugasamaki nchi kavu kwa kutumia mabwawa. Ufugaji wa samaki huweza kumletea mkulima fedha nyingi kuliko watu wanavyofikiri.

Brief Summary:
The book is a Guide On Modern Fish Farming.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review