Epa - Eleza Pesa Alipozificha
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Viongozi fulani wa umma waliomaliza muda wao wa uongozi, na ambao chaguo lao la Mgombea Urais wa Tanzania limetupwa wanapanga Mpango wa kuiba fedha za Serikali kupitia akaunti ya madeni ya nje wakisingizia kugharamia kampeni za uchaguzi mkuu ili chama tawala kishinde. Wanafanikiwa kuiba fedha hizo, lakini wanaendelea kuchukua fedha hata baada ya uchaguzi kwisha. Hili linamshtua Mtunzaji Mkuu wa fedha hizo, na anapofuatilia anagundua fedha ziliingia mikononi mwa wajanja, badala ya kugharamia uchaguzi! Anakataa kutoa fedha nyingine huku akitaka zilizochukuliwa zirejeshwe. Kitu kinachomgharimu kupita kiasi…!

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review