Chifu Mtalimbo Kiboko ya Mamba
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Natabaruku hadithi hii kwa Dkt. Bryan Mtalimbo Mwamwingila, ambaye aliomba zawadi ya hadithi ili asome katika siku yake ya kuzaliwa mwaka 2020. Nami kwa upendo mkubwa nimemuandikia ili afurahi pamoja na watoto wote wanaopenda kusoma hadithi. Kwako Mtalimbo, Mimi, Mama yako na ndugu zako (kaka na dada) tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Baadhi ya ndugu zako ni Odilia, Waheeda, Alex, Jasi, Lucy, Fatma, Basil, Kivali, Rey, Max, Idrissa, Agnes, Samwel, Dorkas, Mapacha Theo na Philip, Hosea, Derick, Avold, Nazifa, Tom, Abuu, Grace. Wengine ni Selecious, Danny, Gian, Maria, Daniela, Balo, Njirapi, Sarah, Emmy na rafiki zako kama Hansi, Zulfa na wengine wengi ambao sijawataja hapa. Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review