
HUSSEIN TUWA SEHEMU YA KWANZAHussein Tuwa mtunzi wa vitabu vya kiswahili, hapa anatoa historia tangu alipo zaliwa safari yake ya elimu kabla ya kuwa mtunzi
|
|
HUSSEIN TUWA SEHEMU YA PILIChangamoto na ubaguzi wa rangi aliowahi kukutana nao katika safari zake za kikazi.
|
|
HUSSEIN TUWA SEHEMU YA TATUHussein Tuwa akieleza namna alivyo faulu baada ya kufeli kidato cha nne.
|
|
HUSSEIN TUWA SEHEMU YA NNEMtunzi Hussein Tuwa akivielezea vitabu vyake pia namna alivyojikuta katika utunzi.
|
|
Mfadhili
MFADHILI ni riwaya inayoswawiri juu ya penzi zito baina ya watu wawili, Gaddi Bullah na Dania eobald ambalo linapitia katika misukosuko na mitihani mikubwa.
|
|
Mdunguaji
Wapiganaji kumi, wakiwemo watanzania watatu, wanaounda kikosi maalumu cha jeshi la umoja wa mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejifich katika msitu waliokuwamo.
|
|
Mkimbizi
Mwanadada Tigga Mumba anaingia kwenye msukosuko mkubwa maishani, pale anaposhuhudia mauaji ya kutisha akiwa msituni akishiriki utafiti wa mambo ya kale. Maisha yanambadilikia pale anapojikuta akishutumiwa kuwa ni yeye ndiye aliyefanya mauaji yale bila kujitambua, kutokana na maradhi ya akili. Paramond Schizophremia!
|
|
|
Mtafiti
Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu yoyote ya kumshitua mrembo Zay, mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika azingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusisha moja kwa moja kibaya cha mtafiti Grayson Mochiwa.
|
|
|
|
|
|
No award found
Ask Hussein Tuwa anything
No questions, Be the first to ask Hussein Tuwa
Contact Form