Siri za Maisha
Mchapishaji
E & D Vision Publishing
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 12, 2025

TSh 3,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, mfanyabiashara, profesa, msanii, mkulima, fundi, mwanariadha au mama wa nyumbani, unao uwezo wa kubadilisha maisha yako katika nyanja yoyote ile kama unataka. Unaweza ukakataa kusota na kubako hapo ulipo, kwa kupambana na changamoto ya aina ile ili uweze kupataushindi maishani. Kitabu hiki kinatoa mwongozo, kanuni, mbinu na maarifa ya kukuwezesha kuibua vipaji na uwezo mkubwa uliojifisha ndani yako na kukufikisha juu ya kilele cha mafanikio. Wakati ni huu, unao uwezo wa kubadilisha maisha yako. Fanya hivyo sasa!