Bibi Pipi na Maua Waridi
Mchapishaji
Corona Cermak
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 02, 2025

TSh 3,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Mabishano bustanini yalishaanza kupamba moto. 
Bibi Pipi hakuamini alichokuwa anasikia. Waridi alikuwa anapayuka kwa hasira, "Inatosha jamani, acheni ujinga"

Waridi Jeupe alikuwa akilia kwa kwikwi huku Waridi Jekundu akiwa ameivimbisha miiba yake tayari kushambulia wakati wowote. Waridi Njano yeye hofu ilimjaa na alifunika uso wake kwa mikono yake. 

Je inamaanisha chochote mawaridi uwa na rangi tofauti? 

Soma kitabu hiki kwa njia ya mtandao na lantern eBooks na umsaidie Bibi pipi